Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya CBA, Yohanne Kaduma (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 5 kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, ikiwa ni mchango wa benki hiyo kwa ajili ya waathirika wa ajali ya meli iliyotokea hivi karibuni. Kaduma amesema benki yake iko tayari kuikopesha serikali ili iweze kununua meli mpya ili kuhakikisha inaboresha huduma za usafiri majini.
No comments:
Post a Comment