BIDHAA MBALIMBALI MPYA YA KAMPUNI YA KONYAGI NDANI YA SABASABA...


Meneja wa Masoko ya Nje wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd. watengenezaji wa Konyagi, Bavon Ndumbati (wa pili kushoto) na Meneja wa Bidhaa, Martha Bangu (kulia) wakionesha baadhi ya bidhaa za kampuni hiyo kwa wakazi wa Dar es Salaam waliotembelea banda la kampuni hiyo lililopo kwenye Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere 'Sabasaba', Barabara ya Kilwa, jijini jana. 

No comments: