Baadhi ya madaktari waliokuwa kwenye mgomo wakikokota kitanda alichobebewa Mwenyekiti wao, Dk. Steven Ulimboka kwenye Kitengo cha Mifupa cha Hospitali ya Taifa, Muhimbili (MOI) kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa watu wasiofahamika usiku wa kuamkia jana Dar es Salaam.
Madaktari wakimshusha mwenzao, Dk. Steven Ulimboka kutoka kwenye gari la wagonjwa la Hospitali ya AAR nje ya Kitengo cha Mifupa cha Hospitali ya Muhimbili (MOI) kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa afya yake.
Baadhi ya madaktari waliokuwa kwenye mgomo kabla ya kurejea jana kuokoa maisha ya Mwenyekiti wao, Dk. Steven Ulimboka, wakilisukuma gari la wagonjwa lililombeba mwenzao kuelekea Kitengo cha Mifupa cha Hospitali ya Muhimbili (MOI) kwa uchunguzi zaidi.
No comments:
Post a Comment