2014年3月3日星期一

CHEKA KIMYA-KIMYA...

Jamaa mmoja mpenda sifa kapigiwa simu na demu wake na mambo yalikuwa hivi.
Jamaa: "Hellow baby, mie nipo Mlimani City napata nyama choma na washikaji wangu!" Demu: "Okay, nilitaka kukwambia nimeshakulipia nauli, nipo siti ya nyuma kwenye daladala hili ulilopanda!" Duh...

没有评论: