2013年7月15日月曜日

CHEKA TARATIBU...

Chizi mmoja kapiga simu hospitali ya vichaa na mambo yakawa hivi.
Kichaa: Haloo, hapo ni hospitali ya vichaa?" Mapokezi: "Ndiyo, tukusaidie nini?" Chizi: "Niangalizie chumba namna 17 kama kina mtu." Mapokezi: "Hakina mtu. Kwani vipi?" Chizi: "Nilitaka kupata uhakika kama nimetoroka au bado nipo humo!" Duh...

0 件のコメント: