Jumaat, 3 Mei 2013

CHEKA TARATIBU...

Jamaa kaenda kutoa posa kwa binti fulani. Wazazi wakamkatalia kwa sababu binti yao bado yupo shuleni anasoma. Jamaa baada ya kufikiri kwa muda akajibu: "Haina shida wazee, basi nitakuja wakati wa mapumziko!" Duh, kasheshe...

Tiada ulasan: