lunes, 1 de abril de 2013

CHEKA TARATIBU...

Mwalimu wa Kiingereza kamuuliza mwanafunzi wake katika shule moja ya kata. Mwalimu: "Ikiwa mwanaume anaitwa MAN, mwanamke je?" Mwanafunzi: "Huyo ataitwa ARSENAL!" Kasheshe...

No hay comentarios: