| Ofisa wa NMB tawi la Loliondo, Lembris Lesion, akimwelekeza juzi Mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile jinsi ya kujiunga na NMB Mobile ili ‘kujisevia’ huduma zitolewazo kwa wateja wa NMB waliojisajili kwa kutumia NMB Mobile. (Picha kwa hisani ya NMB). |
没有评论:
发表评论