2013年3月4日月曜日

CHEKA TARATIBU...

Walevi wawili walikuwa wakitembea kurudi nyumbani. Ghafla njiani wakaona kioo, mmoja akakiokota na kujiona sura yake akasema: "Hii sura sio ngeni machoni mwangu ila jina ndio sikumbuki!" Mwenzake alipochukua kile kioo na kujiona sura yake akajibu: "We chizi kweli, huyu ni mimi unajifanya hunijui?" Kasheshe...

0 件のコメント: