2013年3月24日日曜日

CHEKA TARATIBU...


Mmasai mmoja kapeleka redio yake mbovu kwa fundi. Ile fundi anaanza tu kufungua wakatoka mende tele. Mmasai akaruka juu na kusema: "Yeroo, kamata hiyo watangasaji inakimbia!" Kasheshe...

0 件のコメント: