Mbwa koko wawili walikuwa wakizurura jalalani kutafuta chakula mida ya asubuhi. Mara likapita gari la polisi likiwa limepakia mbwa nyuma. Mbwa koko mmoja akamtazama mwenzake na kumwambia kwa uchungu: "Ona wenzetu waliosoma wanakwenda kazini sasa!" Kasheshe…
没有评论:
发表评论