2013年2月22日金曜日

HAWA NDIO WANAOTUHUMIWA KUMKATA MKONO ALBINO SUMBAWANGA...

Watuhumiwa watano wakiwa katika Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa juzi wakidaiwa kunyofoa mkono wa mlemavu wa ngozi, Maria Chambanenge (39) na kutokomea  nao  baada ya kumjeruhi kichwani na kisha kuufukia porini katika kijiji cha Miangalua.

0 件のコメント: