2013年1月1日火曜日

CHEKA TARATIBU...

Kibaka kafikishwa mahakamani ndipo akapewa nafasi ya kujitetea. Akaanza hivi, "Mheshimiwa Hakimu, mie nilikuwa napita zangu ndipo nikasikia simu ikiita NIBEBE...NIBEEBE...NICHUKUE MIKONONI MWAKO NIWE SALAMA! Ndio nikaichukua". Duh, kasheshe...

0 件のコメント: