zironews
2012年10月26日金曜日
CHEKA TARATIBU...
Jamaa mmoja kaenda zake Uarabuni. Njiani akakutana na Mwarabu akivuta sigara. Jamaa akapiga hesabu jinsi ya kumwomba moto lakini atamuanzaje? Mwishowe akapata mbinu na kumwendea kwa kujiamini, "Give me JEHANAM!" Kasheshe...
0 件のコメント:
コメントを投稿
次の投稿
前の投稿
ホーム
登録:
コメントの投稿 (Atom)
0 件のコメント:
コメントを投稿