zironews
2012年8月27日月曜日
MABOMU YALIPOWALIPUKIA CHADEMA MOROGORO...
Baadhi ya wafuasi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakitawanyika baada ya Polisi kutupa mabomu ya machozi eneo la Msamvu, Manispaa ya Morogoro jana kusambaratisha maandamano ya chama hicho ambayo yalishapigwa marufuku.
0 件のコメント:
コメントを投稿
次の投稿
前の投稿
ホーム
登録:
コメントの投稿 (Atom)
0 件のコメント:
コメントを投稿