2012年8月3日星期五

ELIMU BONGO LAZIMA UGANGAMALE...

Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Misewe, Tabata, Dar es Salaam ambaye hakutaka kutaja jina lake akiandika Hisabati na ujumbe ubaoni shuleni hapo jana ikiwa ni mwendelezo wa mgomo wa walimu nchini kuishinikiza Serikali kushughulikia madai yao mbalimbali.

没有评论: