zironews
2012年8月1日水曜日
ELIMU BONGO LAZIMA UGANGAMALE...
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkoani iliyopo Ilala, Dar es Salaam wakisahishiwa madaftari yao na mwalimu nje ya madarasa yao mapema leo. Mgomo wa walimu unaoendelea nchi nzima umesababisha wanafunzi wengi kushindwa kuhudhuria masomo.
0 件のコメント:
コメントを投稿
次の投稿
前の投稿
ホーム
登録:
コメントの投稿 (Atom)
0 件のコメント:
コメントを投稿