zironews
viernes, 27 de julio de 2012
CHEKA TARATIBU...
Jamaa kaenda kwa hospitali akiwa na matatizo ya unene. Alipoingia kwa daktari akaanza kwa kusema, "Dokta, nataka kupunguza uzito." Huku akiwa anaandikvitu fulani mezani Dokta akajibu, "Ondoa hizo nyama!" Kasheshe...
No hay comentarios.:
Publicar un comentario
Entrada más reciente
Entrada antigua
Página Principal
Suscribirse a:
Comentarios de la entrada (Atom)
No hay comentarios.:
Publicar un comentario