2012年5月28日星期一

TWIGA STARS WAREJEA DAR...

Wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya soka ya Wanawake (Twiga Stars) wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam mchana huu wakitokea nchini Ethiopia walikocheza na wenzao wa huko jana na kufungwa mabao 2-1.

没有评论: