2012年5月31日星期四

NMB YAZINDUA PROMOSHENI YA "JENGA MAISHA NA NMB"...


Mkuu wa Idara Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Iman Kajula akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya "Jenga  Maisha Yako na NMB" iliyozinduliwa Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Masoko wa benki hiyo, Shilla Senkoro.

没有评论: