2012年5月2日星期三

BIASHARA ASUBUHI...

Kinamama hawa wakipeleka biashara zao za ndizi sokoni kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam mara baada ya kutoka kuzinunua kwenye soko la jirani na Stesheni ya TAZARA leo asubuhi. (Picha na ziro99blog).

没有评论: