MZURURAJI WETU MITAANI PASAKA...

Baadhi ya waumini wakinunua vitu mbalimbali nje ya kanisa baada ya Misa ya Pasaka kwenye Kanisa Katoliki la Tabata leo asubuhi. (Picha na ziro99blog)
Eneo la Ubungo Mataa ambalo hapo kabla lilikuwa likipitika kwa shida kutokana na wamachinga kujaza meza zao, sasa liko wazi baada ya amri ya Halmashauri ya Manispaa kuwaondoa wafanyabiashara hao kutekelezwa kama lilivyokutwa asubuhi ya leo.
Hali kwenye stendi kuu ya mabasi ya mikoani Ubungo ilikuwa shwari asubuhi ya leo wakati wa shamrashamra za Sikukuu ya Pasaka. (Picha na ziro99blog)
...Hakukuwa na pilikapilika zilizozoeleka.

No comments: