2012年3月30日金曜日

BIASHARA ASUBUHI...

Dada huyu akipanga barafu katika kasha analohifadhia biashara yake ya maji baridi kabla ya kuanza kuwauzia wateja wake kama alivyonaswa na 'mzururaji' wetu asubuhi hii maeneo ya Buguruni Relini, Dar es Salaam. (Picha na ziro99blog)

0 件のコメント: