2012年3月5日星期一

BAJAJI INAPOKATA WESE...

Dereva wa bajaji akihangaikia kuweka petroli kwenye chombo hicho kama alivyokutwa na 'mzururaji' wetu asubuhi hii kwenye makutano ya barabara za Kinondoni na Ali Hassan Mwinyi eneo la Salander, Dar es Salaam. Chombo hicho cha usafiri kinasifika kwa utumiaji mdogo mno wa petroli. (Picha na ziro99blog).

没有评论: