Mkurugenzi wa Masoko wa BASATA, Vivian Shalua akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Siku ya Msanii (Msanii Day) kwenye Hoteli ya Sea Cliff, Dar es Salaam mapema leo. Kulia ni Ofisa Habari wa Msanii Day, Petter Mwendapole.

No comments: