Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa (Safari Lager High International Quality Trophy) iliyoshinda hivi karibuni kutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa.

No comments: