Kamanda wa Polisi mkoani Iringa, Ramadhani Mungi akionesha lori la Kampuni ya Dhandho lililochomwa moto na dereva na utingo wake baada ya kufaulisha mali zote kwa lengo la kuiba kando ya barabara ya Iringa-Mbeya wilayani Mufingi. Mali hizo zenye thamani ya Shilingi milioni 100 zilikuwa zikisafirishwa kwenda nchini DRC.

No comments: