...Hapa ni Barabara ya Kinondoni jirani na ofisi za CARE hali ilikuwa mbaya kama inavyoonekana pichani. (Picha na ziro99blog)
...Maeneo ya jirani na Aga Khan nako magari yalikuwa hayaendi kabisaa mida ya saa mbili asubuhi. Kipande kifupi cha kutoka hapa hadi Movenpick ilituchukua zaidi ya dakika 45! Jamani tunaelekea wapi? (Picha na ziro99blog).
No comments:
Post a Comment