BIASHARA MATANGAZO BWANA...
Tangazo la moja ya filamu za Bongo likiwa limebandikwa nyuma ya daladala linalofanya safari zake kati ya Mwananyamala na Kivukoni kama lilivonaswa na 'mzururaji' wetu leo asubuhi. Aina hii ya utangazaji imekuwa ikishika kasi hasa katika jiji la Dar es Salaam ambapo inaaminika tangazo husika lina nafasi kubwa zaidi ya kusomwa na watu wengi. (Picha na ziro99blog).
No comments:
Post a Comment