Waombolezaji wakiwa wameketi kusubiria zoezi la kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mwongozaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, George Otieno Okumu 'Tyson' kijini kwake Siaya, nchini Kenya jana.

No comments: