Wachezaji wa timu ya Taifa ya Ubelgiji wakimpongeza mwenzao, Divock Origi baada ya kufunga bao pekee lililoivusha timu yao kuingia kwenye hatua ya 16 Bora ya Fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Brazil.

No comments: