Wachezaji wa Costa Rica (kutoka kushoto) Giancarlo Gonzalez, Patrick Pemberton na Oscar Duarte wakilia kwa furaha baada ya timu yao kuichapa Italia bao 1-0 katika mechi ya Kundi D ya kombe la Dunia iliyochezwa juzi kwenye Uwanja wa Pernambuco mjini Recife. (FIFA)

No comments: