Peter Odemwingie akishangilia na wenzake bao pekee aliloifungia timu yake ya Nigeria dhidi ya Bosnia katika mechi ya Kundi F ya Kombe la Dunia iliyochezwa kwenye Uwanja wa Pantanal mjini Cuiaba jana. Nigeria ilishinda bao 1-0. (Reuters)

No comments: