Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez akilalamika kwa maumivu baada ya kugongana na beki wa Italia, Giorgio Chiellini wakati wa mechi ya Kundi D ya Kombe la Dunia iliyozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja wa Dunas, mjini Natal jana. (Reuters).

No comments: