Mshambuliaji wa Ujerumani, Miroslav Klose akishangilia baada ya kufunga bao la kusawazisha dhidi ya Ghana katika mechi ya Kundi G ya Kombe la Dunia iliyochezwa kwenye Uwanja wa  Castelao mjini Fortaleza jana. Timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2. (Reuters).

No comments: