Mchezaji wa Iran, Mehrdad akirusha daluga lake hewani kuwania mpira na  mshambuliaji wa Argentina, Sergio Kun Aguero katika mechi ya Kundi F kuwania Kombe la Dunia baina ya timu hizo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Mineirao mjini Belo Horizonte jana. (Reuters).

No comments: