Kaburi la aliyekuwa mwongozaji filamu maarufu nchini Tanzania, George Otieno Okumu maarufu kama 'Tyson' mara baada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao Siaya, nchini Kenya jana. Tyson alifariki kwa ajali ya gari akitokea mkoani Dodoma kwa shughuli za kikazi akiwa na wenzake wanaoandaa kipindi cha runinga cha The Mboni Show.

No comments: