Giorgio Chiellini wa Italia akionesha bega lake, akidai kung'atwa na mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez, wakati wa mechi ya Kundi D baina ya nchi hizo ya Kombe la Dunia iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Dunas mjini Natal. (Reuters).

No comments: