Giorgio Chiellini akifunua jezi yake kumuonesha mchezaji wa Uruguay, Gaston Ramirez (kushoto) sehemu anayodai kung'atwa na mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez katika mechi baina ya timu zao za taifa jana.

No comments: