Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio wa askari wa jeshi la wanamaji wa Uturuki waliowasili kwa melivita nne za jeshi hilo katika bandari ya Dar es Salaam leo kwa ziara ya siku tatu nchini.

No comments: