Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana, baada ya kikao cha Bunge la Bajeti.

No comments: