Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akijaribu kumwelezea Rais wa Malazi, Joyce Banda jinsi alivyopokea taarifa za kifo cha Balozi Flossie Gomile-Chidyaonga. Kulia ni mume wa Rais huyo, Jaji Mkuu mstaafu Banda na kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi, Ephraim Chiume.

No comments: