Wauguzi wa Zanzibar wakiimba wimbo wa Siku ya Wauguzi Duniani wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kwenye Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ya Kidongo Chekundu, Zanzibar jana.

No comments: