Waombolezaji wakiwa wamebeba moja kati ya miili ya wazazi wawili waliouawa juzi kwa shoka na mtoto wao tayari kwa mazishi katika kijiji cha Masama-Roo, Machame Mashariki, wilayani Hai katika mkoa wa Kilimanjaro.

No comments: