Wakazi wa Kijiji Cha Chakijage wilayani Kyerwa mkoani Kagera Josephina Rugambwa (kushoto) na mumewe Donati Anatory wakiwa wamewashikilia mapacha wao pamoja na wasamaria wakati wakiomba msaada kwa Serikali na raia wema ili aweze kupata nafuu ya kuwalea watoto wao hao mapacha wanne.

No comments: