Wakazi wa eneo la Makunguru, jijini Mbeya wakitazama nyumba iliyoteketea moto na mali zote zilizokuwamo ndani yake kutokana na kile kilichodaiwa kuwa hitilafu ya umeme jana. Haijafahamika mara moja kama kuna majeruhi yeyote ama mtu aliyepoteza maisha kutokana na mkasa huo.

No comments: