Wafanyabiashara ndogondogo wa Mbagala Rangi Tatu, Abdallah Juma (kushoto) na Albert Mhogo, wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe 'Fistula Inatibika' wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa umma kuhusu tatizo hilo linalowasumbua wanawake kwamba linatibika. Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuadhimisha Siku ya Fistula Duniani iliyoratibiwa na CCBRT, UNFPA na Vodacom Foundation.

No comments: