Wabunge kutoka nchi washiriki wakifuatilia kwa makini mada wakati wa siku ya pili ya Semina ya 25 ya Chama cha Mabunge wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA), iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mjumbe kutoka Tanzania, Ummy Mwalimu.

No comments: