Sehemu ya malori yakiwa kwenye foleni ya zamu ya kupakia mizigo katika Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo eneo la Obajana, Jimbo la Kogi, kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa jiji la Lagos, nchini Nigeria. Dangote ndicho kiwanda kikubwa zaidi cha saruji duniani kilichopo sehemu moja chenye uwezo wa kuzalisha tani za kimetriki milioni 10.25 kwa mwaka.

No comments: