Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga, Raymond Benjamin, wakati Katibu huyo alipomtembelea ofisini kwake Ikulu, mjini Unguja jana.

No comments: